Diamond Lyrics by Jay Melody
Read and sing aloud Diamond Lyrics by Tanzanian singer, Jay Melody. The song is well received by fans in Tanzania and beyond
READ ALSO: Wa Peke Yangu Lyrics by Jay Melody
Read Diamond Lyrics by Jay Melody below:
Mmmmh kuidhulumu nafsi sitaki
Penzi la ukakasi sitaki
Mi najua mna upendo wa dhati
Sa kwanini niingie kati
Mioyo yenu ipeni nafasi
Muinywe kwa uhuru sharubati
Penzi lisiwela Hisabati
Mpaka muushangaze umati yooo
Apendapo maulana basi na mimi
Nipate wa kushibana
Alafu nyinyi cheki mnavyopendana
Si kwa matendo kwa ishara tunaona
Aaah penzi letu liwe kisima cha upendo
Ololoo maaah liwe
La shine like a Diamond
Wanga wakae mbali
Liwe kisima cha upendo
Ololoo maaah liwe
La shine like a Diamond
Aaaah Ooooh Aaaaah
Mapenzj sio ya kulazimishana
Wanaopendana kuwaaachanisha ni laana
Angalia macho yao mazuri yanavyofanana
Na watu wasiopendana utawapata wakishindana
Yapo kama maua kuna muda yatachanua
Mtashindwa kutambua wapi linapiga jua
Mapenzi kitumbua mchanga msije tia
Waacheni wamekua sisii tuombe dua
Aaaaah
Apendapo maulana basi na mimi
Nipate wa kushibana
Alafu nyinyi cheki mnavyopendana
Si kwa matendo kwa ishara tunaona
Aaah penzi letu liwe kisima cha upendo
Ololoo maaah liwe
La shine like a Diamond
Wanga wakae mbali
Liwe kisima cha upendo
Ololoo maaah liwe
La shine like a Diamond
The post Diamond Lyrics by Jay Melody appeared first on Latest East African & Bongo Flava Music, Songs & Video – Notjustok.
Leave a Reply