Hakuna Noma Lyrics by Mimi Mars

0
(0)


Hakuna Noma Lyrics by Mimi Mars

Mimi Mars Lyrics

Read and sing aloud Hakuna Noma Lyrics by Mimi Mars. The songs marks the second single from Mimi Mars in 2024.

READ ALSO: ‘Till I Die’ Lyrics by Mimi Mars

Read Hakuna Noma Lyrics by Mimi Mars below:

Kama ukiniona nafurahi
Jua ni Jah kabless
Jua ni Jah kabless
Na ukiniona najidai
Jua ni Jah kabless
Jua ni Jah kabless

We here today huko tulipotoka
Tulishaga kuondoka asa hivi tupo okay
We here today wala hatujawahi choka
Walodhani tutasota saivi ndo hawana say

Hakuna noma no kisirani
Mwendo wa burudani yeah yeah
Ushanisoma kama kucheza uwanjani
Unamuogopa nani yeah yeah

Wacha waongee si tunalindwa na Baba Eeh ayeee ayeee
Acha tusherehekee stress mawazo baadae aeeh aeeeeh
Leo ni party after party
Leo ni party after party

Binadamu hawakosi cha kusema
Hata ukiwafanyia jema
Bado watakukosea tena
Na Mungu Baba kanipangilia vyema
Kanipa pumzi na neema
Nami naiona nyota njema

Hakuna noma no kisirani
Mwendo wa burudani yeah yeah
Ushanisoma kama kucheza uwanjani
Unamuogopa nani yeah yeah

Wacha waongee si tunalindwa na Baba Eeh ayeee ayeee
Acha tusherehekee stress mawazo baadae aeeh aeeeeh

Check Lyrics of latest songs here, and get fresh updates as they drop via Twitter and Facebook

The post Hakuna Noma Lyrics by Mimi Mars appeared first on Latest East African & Bongo Flava Music, Songs & Video – Notjustok.

How useful was this post?

Click on a star to rate it!

Average rating 0 / 5. Vote count: 0

No votes so far! Be the first to rate this post.

Be the first to comment

Leave a Reply