Hii Hapa Lyrics by Weusi
Read and sing aloud Hii Hapa Lyrics by Weusi. The rap song marks Weusi’ official return in the Tanzanian music industry after a 2 years hiatus.
READ ALSO: 10 Bongo Flava classic songs turning 10 in 2024
Read Hii Hapa Lyrics by Weusi below:
Ok Ok Hii Hapa Hii
Ok Ok Hii Hapa Hii
Ok Ok Hii Hapa Hii
Ok Ok Hii Hapa Hii
Safari hii nawabadilishia lock
Mkinijia juu mi siendi low key
Dem mafaka minatia bloki
Chaf Chaf DM minatia blockie
Chafu chafu game minatia noti
Check zangu ndefu so nicheki BOT
Palipo na upepo mi naita boti
Kula bodaboda sikuitii bolt
Washaingia ubaridi siuzi makoti
Si shamba la kahawa mtakula makofi
Me nah fear no who
Me nah fear God
Unakaa kama chakula ya bosi
Mnakaa sana uzeni makochi
Wanakimbia bwana nimetokea ghost
Nawanyoosha nawanyoosha
Hakuna madobi Hakuna madobi
Mnaweweseka mnaweweseka.
Ni kama mko bondi Ni kama mko bondi
Nimefungua bucha bucha bucha
Nachinja magoat meeee
Kukaa juu sisi hatuna budi
Mezanikwetu chupi hazirudi
Ulalo leo ni kifudi kifudi fudi
Gudi gudi gudi gudi
Ok Ok Hii Hapa Hii
Ok Ok Hii Hapa Hii
Ok Ok Hii Hapa Hii
Ok Ok Hii Hapa Hii
Hii hapa ni wapi
Hii hapa ni home
Hii hapa juhudi uvivu ni bomu
Hii hapa machawa hawapigi vibomu
Hii hapa ni winners cycle zone
Hii hapa ni Nick ulimisi akirap
Hii hapa ni mimi na mimi nirap
Hii hapa hii
Vesi napiga ka tyson
Bado nakuwaga icon
Bible nasoma kwa balcon
Nataka hubiri mic on
Kuifanya hii ni wito wito
Kuacha hii ni mwiko mwiko
Kama wasira nipo
Weusi nipoo nipoo nipo
Hii hapa Hii hapahii
Ok Ok Hii Hapa Hii
Ok Ok Hii Hapa Hii
Ok Ok Hii Hapa Hii
Ok Ok Hii Hapa Hii
Aaaah hii hapa umeingia chaka
Hii hapa biashara kaka
Hii hapa ni sadaka
Wajomba wanailia bata
Hii hapa imeokoka na mi leo naokoka
Ka mtoto amedata na mimi najizima data
Hii hapa ndo anayotaka
Hii hapa ndo anayoipata
Hii hapa ndo anaifuata
Hii hapa ndo anayoichapa
Na watakuwekea vichwa
Usipotumia kichwa
Hapa akili kumkichwa
Ni akili kunificha
Aaaah ok ok hii hapa hii
Ok Ok Hii Hapa Hii
Ok Ok Hii Hapa Hii
Ok Ok Hii Hapa Hii
Ok Ok Hii Hapa Hii
Check Lyrics of latest songs here and Get Fresh updates as they drop via Twitter and Facebook
The post Hii Hapa Lyrics by Weusi appeared first on Latest East African & Bongo Flava Music, Songs & Video – Notjustok.
Leave a Reply