Read and sing aloud Hussein Mwinyi Lyrics by Diamond Platnumz & WCB Wasafi. The song is meant to celebrate the President of Zanzibar, Hussein Mwinyi.
READ ALSO: Read Mwamba Lyrics By Rayvanny
Read Hussein Mwinyi Lyrics by Diamond Platnumz & WCB Wasafi below:
Hussein Mwinyi daima mbele
Zanzibar I daima mbele Hussein Mwinyi
Hussein Mwinyi daima mbele
Zanzibar I daima mbele
Na CCM I daima mbele Ooooh
Zanzibar I daima mbele Hussein Mwinyi
Hussein Mwinyi daima mbele
Zanzibar I daima mbele
Jembe hili hapa liko wapi chombo hiki hapa
Waoneshe wamuone Jembe hili hapa Mmmmh
Chombo hiki hapa Kiboko yao
Jembe hili hapa liko wapi chombo hiki hapa
Aloooh Aloooh Aloooh
Chombo hiki hapa
Amejnga shule za msingi na Sekondari
Ameboresha vituo vya afya mbalimbali
Na barabara yapit vyema magari
Uchumi wa bluu tufaidike na bahari
Uwanja wa Amani katujengea kimasomaso
Ujenzi wa migombani waendelea kimasomaso
Wafanyabiashara ametutoa kimasomaso
Mikopo bila ya riba ametugea kimasomaso
Watalii sasa shata kwa shata
Uchumi umenyanyua
Watoto elimu bora wanapata skuli wanabukua
Wavuvi vifaa vya kisasa umewakwamua
Nyie Rais tumepata acha tumpe maua
The post Hussein Mwinyi Lyrics by Diamond Platnumz & WCB Wasafi appeared first on Latest East African & Bongo Flava Music, Songs & Video – Notjustok.
Leave a Reply