Kijitu Lyrics by D Voice

0
(0)


Kijitu Lyrics by D Voice

D Voice Lyrics

Read, sing aloud and follow along Kijitu Lyrics by Tanzanian singer and songwriter, D Voice. The song marks another time D Voice has scored a hit song in East Africa.

READ ALSO: Zoba Lyrics by D Voice

Read Kijitu Lyrics by D Voice below:

Aaah anapenda show off 

Maisha ya kuigiza 

Yani ye kila kitu anajua 

Anapenda kujibu 

Hata kama hajaulizwa 

Aaah yaani ye anazingua 

Oooh jamani kuna kijitu kinanikera 

Kijitu kijitu kuna kijitu kinaniboa 

Kijitu kijitu kuna kijitu kinanikwaza 

Kijitu kijitu kuna kijitu kinanikera 

Kijitu kijitu 

Oya nyie anachonikera vimaneno 

Vya umbea 

Mixer majungu na kujifanya 

Ye mjuaji sana 

Kuliko Mungu 

Apo kwanz naleta ubishani 

Yani utata 

Ju mweupe lakini miguuni

Ana mibaka 

Na njiani kubadili mwenendo 

Anavyonyata 

Ukimuona utadhani wa maana 

Kumbe kidampa 

Kuna kijitu 

Oooh jamani kuna kijitu kinanikera 

Kijitu kijitu kuna kijitu kinaniboa 

Kijitu kijitu kuna kijitu kinanikwaza 

Kijitu kijitu kuna kijitu kinanikera 

Kijitu kijitu 

Oyaaa Eeeeh 

We mama ntilie amekufa na mengi 

Biashara ya chakula kachanganya na mapenzi 

We mama ntilie amekufa na mengi 

Biashara ya chakula kachanganya na mapenzi 

Kibiriti cha chachuma 

Chabati kinaungua 

Kibiriti cha chachuma 

Chabati kinaungua 

Mijibwa hiyo mipaka hiyi 

Mijibwa hiyo mipaka hiyi 

Oyaaa eeeeh 

Check Lyrics of latest songs here and Get Fresh updates as they drop via Twitter and Facebook

The post Kijitu Lyrics by D Voice appeared first on Latest East African & Bongo Flava Music, Songs & Video – Notjustok.

How useful was this post?

Click on a star to rate it!

Average rating 0 / 5. Vote count: 0

No votes so far! Be the first to rate this post.

Be the first to comment

Leave a Reply