Read and enjoy King’ang’a Lyrics by Mabantu. King’ang’a marks another time that the Tanzanian music duo has scored a hit song.
READ ALSO: Read Maokoto Lyrics by Mabantu and Navy Kenzo
Read King’ang’a Lyrics by Mabantu:
Mi ukinidate siachiki
Mi ukinidate ka ruba
Mi ukinidate aachwi mtu hapa
Yani mimi ukinidate
Lazima tule pilau
Mi king’ang’a
Mi king’ang’a
Mi king’ang’anizi
Mi king’ang’anizi
Mi king’ang’a
Mi king’ang’anizi
Mi sifosi pepo nafosi penzi
Mama mkwe naonga range
Mashemeji mtapenda hampendi
Mi ndo zezeta chizi la mapenzi
Twende hata mahakamani
Sitoachika kwenye mapenzi niite misifa
Usinishauri nitadhalilika
Buzi simuachu na sitoachika
Weeeh
Eti nimuache kisa kanchiti
Huyo sio mimi huyo
Kwani imeondoka si bado ipo
Huyo sio mimi huyo
Eti kisa meseji simu za usiku
Huyo sio mimi huyo
We hapa nimeshafika atoki mtu
Huyo sio mimi huyo
Mi uninidate siachiki
Mi ukinidate ka ruba
Mi ukinidate aachwi mtu hapa
Yani mimi ukinidate
Lazima tule pilau
Mi king’ang’a
Mi king’ang’a
Mi king’ang’anizi
Mi king’ang’anizi
Mi king’ang’a
Mi king’ang’anizi
The post King’ang’a Lyrics by Mabantu appeared first on Latest East African & Bongo Flava Music, Songs & Video – Notjustok.
Leave a Reply