Mahaba Rundo Lyrics – Anjella
Anjella Lyrics
Read, sing aloud and follow Mahaba Rundo Lyrics by Tanzanian songstress Anjella.
READ. ALSO: Nimekumiss Lyrics – Anjella
Enjoy Mahaba Rundo Lyrics by Anjella below:
Huba lako la nyota tano
Hoteli za kimataifa
Penzi lako halina mfano
Hakuna wa kufananisha
Mahaba ya homa ya njano
Yamenila yakaisha ooooh weeeh
Umejua kisomo cha kunizubaisha
Eti mkunwa na mkunaji
Nani anaona raha
Mi akinikuna yeye nalalaaaa
Popo pepea nampa show show
Ya nilivyosomea
Kama mtoto nam-take care
Mwendo slow slow dozi inaingia
Popo pepea nampa show show
Ya nilivyosomea
Kama mtoto nam-take care
Mwendo slow slow dozi inaingia
Mahaba rundo mahaba mzigo eeeh
Mahaba rundo mahaba mzigo eeeh
Mahaba rundo mahaba mzigo eeh
Mahaba rundo mahaba mzigooo
Mahaba mzigo mahaba rundo
Ooooh bebe kupenda maradhi niuguzee
Nibembeleze nipigie na zeze eeeh
Na tufanye wazi wazi yawauguze wapambe
Yasipungue baby yaongeze eeeh
Mi nime-fall nimeanguka mwenzio
Siko lonely nina antenna yako radiooo eeh
Popo pepea nampa show show
Ya nilivyosomea
Kama mtoto nam-take care
Mwendo slow slow dozi inaingia
Popo pepea nampa show show
Ya nilivyosomea
Kama mtoto nam-take care
Mwendo slow slow dozi inaingia
Mahaba rundo mahaba mzigo eeeh
Mahaba rundo mahaba mzigo eeeh
Mahaba rundo mahaba mzigo eeh
Mahaba rundo mahaba mzigooo
Mahaba mzigo mahaba rundo
Find Your Favourite Song Lyrics Here and Get Fresh updates as they via Twitter and Facebook
The post Mahaba Rundo Lyrics – Anjella appeared first on Latest East African & Bongo Flava Music, Songs & Video – Notjustok.
Leave a Reply