Mazoea Lyrics – Darassa featuring Harmonize

0
(0)


Mazoea Lyrics – Darassa featuring Harmonize

Darassa Lyrics

Tanzania’s heavyweights Darassa and Harmonize have come together to drop Mazoea, one of the most eagerly awaited projects of the year, promising a finely crafted Bongo Flava track that’s poised to take over East African streets.

READ ALSO: VIDEO : BillNass Ft. Mwana FA – Mazoea

Read and enjoy Mazoea Lyrics by Darassa featuring Harmonize here:

Intro
I’m tryna tell my friends this is different
Kama you got me end of the mission
They say “stop play we mzee are you going insane”
Unapewa nini masikio, you don’t listen
Bomboclaat (Sounds by Abbah)

Verse
Yeah, jana nilikuwa tips, eh
Kulimwagika pisi, eh
Maradhi pekee, ndio yangefichwa
Uzuri wako umenijaa kwa kichwa
Nikazikumbuka hips, eh
Unavyong’ata ng’ata lips, eh
I know that you miss me
Why don’t you come and kiss me, my baby, uh-uh

Verse
Aa, umetawala nchi kavu, umetanda angani
Unanipa mitihani, natokea njia gani
Uko nyumbani, uko mtaani, uko kazini, uko maskani, uko viwanjani, uko moyoni
Umejaa, jaa ndani
Matukio yana rewind-wind kichwani
You’re one of the kind, umeshinza wapinzani
Pozi zako, dah
Ile sura ya furaha
You’re my friend, you’re my lover, you’re my superstar

Pre-Chorus
Nimeshindwa, nimeshindwa kulala last night
Nikiangalia kitanda we used to play pillow fight
Come back to me, I’m not doing alright
Ukiona mtu mzima analia ujue vitu ziko tight

Chorus
Hata iwe mapenzi yamekwisha
Kumbuka kuna (mazoea)
Eh-eh, baby, uh-uh (mazoea)
Hata kama mapenzi yamekwisha
Yanabaki (mazoea)
Eh-eh, baby, uh-uh (mazoea)

Uh, uh

Bridge
Nakunywa pombe nilewe sababu ni wewe
Silewi zinanipalia, ooh (uuh)
Umenipatia
Uhuhu (uhuhu)
Unanijulia

Verse
Najipa imani, it’s okay
My heart is broken
Naogelea matope
Wacha nijikokote
Wacha nijiokote
It’s okay, it’s okay
Na sitafika popote, eh
Si unajua arosto, I’m in so pain
Your love inanipa addiction kama Cocain
Naona kabisa umeshanidamage on my brain
I’m so high captain jump off the plane

Pre-Chorus
Nimeshindwa, nimeshindwa kulala last night
Nikiangalia kitanda we used to play pillow fight
Come back to me, I’m not doing alright
Ukiona mtu mzima analia ujue vitu ziko tight

Chorus
Hata iwe mapenzi yamekwisha
Kumbuka kuna (mazoea)
Eh-eh, baby, uh-uh (mazoea)
Na hata kama mapenzi yamekwisha
Yanabaki (mazoea)
Eh-eh, baby, uh-uh (mazoea)

Outro
Yao, yao
It’s Konde Boy call me “Number one,” eh-ih
Konde Music Worldwide
They call me, “King Classic”
The Mix Killer

Explore other latest song lyrics here, and get fresh updates as they drop via X (formerly Twitter) and Facebook

The post Mazoea Lyrics – Darassa featuring Harmonize appeared first on Latest East African & Bongo Flava Music, Songs & Video – Notjustok.

How useful was this post?

Click on a star to rate it!

Average rating 0 / 5. Vote count: 0

No votes so far! Be the first to rate this post.

Be the first to comment

Leave a Reply