Msanii Bora Wa Hip Hop Lyrics by Stamina Shorwebwenzi
Read and enjoy Msanii Bora Wa Hip Hop Lyrics by Stamina Shorwebwenzi. The song marks Stamina’s first release in 2024 and has been well-received by fans in Tanzania and beyond.
READ ALSO: Stamina ft. Maua Sama – Nalewa Leo
Msanii Bora Wa Hip Hop Lyrics by Stamina Shorwebwenzi below:
Wanaopenipenda nawauzia hii verse
Bila discount
Mkeka umetiki bado timu moja cashout
Toka enzi za kabwela nasumbua chart
Chuma kama Chidi ukinichezea jua ni tetenasi
Rostam kwa hewa kitaa kinaelewa
Leo ofisini hakuna sheria maana boss kalewa
Toka enzi za Kabwela nalisongeaha behewa
Nina bless from God bila nguvu za ngekewa
Eeeh
Nawakilisha Tanzania
Kila ngoma hit unawezw sema nakamia
Naua mapaka njooni mzike nishawasalia
Ukiniita kwenye collabo ujue ni Yesu na Maria
Oooi
Mi sikohoi kama konde
Nazidi kuonea maana wapinzani vibonde
Bado nasaka tonge ili nisiiishi kinyonge
Na club naagiza soda mbele ya Shomari Kapombe
Ukatoliki kama Roma siko kwa hand Maradona
Kama nyasi nawachoma nala unga ila dona
Pata habari we informer na mnaniita wa matonya
Ma-rapper mnaochana chana leo nimefika nawashona
Funga domo upewe shavu na Tale
Mi ndo swala naekatiza hadi kwa Simba wa Madale
Nyani zee nishakwepa hio mikuki na mishale
Watoto wameninyea sasa ntawazisha wakalale
I smoke kush, i get feel high
Unataka battle na mimi men don’t try
Habari hampati hata mkituma spy
Niko chimbo ninanyonga mixer na dry
Hawa mbuzi nawafunga njoo Makongo
Ukinipa jicho nalitoa mpaka tongo tongo
Beat naichubua chuby kama sura za wakongo
Mitaa imenipa tuzo sitaki tuzo za mchongo
Mvutaji mwenye arosto kakutana na pusher
Ni maangamizi ka shangazi kakutana na Kusah
Neno bahati ni maandalizi yaliyokutana na fursa
Hatujufuniki maana uchumi wetu bado unashuka
Sheria kali hapa haipingwi hoja
Ukiwa snitch hata ukinicheki inbobo hatupigi soga
Juu ya mdundo ka niko Mikumi unyama mwingi broda
Wabovu wanaflow nyepesi kama mkojo wa shoga
Alieni-inspire Fid japo kichwani sina rasta
Najua kuhusu mistari mavazi waulize wa-culture
The international punch liner, punch ni vitasa
Mdomo unatema madini kila unapoona kinasa
Okay, mnaona poa okay fine
Nna Mungu anasaidia bado nazidi ku-shine
Level msizofika nishatimba nisha-sign
Bila hereni ba tattoo wala misuko ya 69
The post Msanii Bora Wa Hip Hop Lyrics by Stamina Shorwebwenzi appeared first on Latest East African & Bongo Flava Music, Songs & Video – Notjustok.
Leave a Reply