You Lyrics by Abdu Kiba Ft Yammi
Read and sing aloud You Lyrics by Abdu Kiba Ft Yammi. The song has been well received in Tanzania and beyond.
You Lyrics by Abdu Kiba Ft Yammi
INTRO
Ahaaahah
haaaaah
Alikiba (Melody)
VERSE:Abdukiba
Moyo wangu unadunda na Bandama
Najihisi furaha nikikutazama na hiyo
Rangi ya fedha vyenye unapendeza
Na ipite Usiku ama mchana aah nawaza tu
Tukikutana, Vyenye unanibeba huku
Unanikoleza
BRIDGE: Abdukiba
Niko na Amani niko niko moyoni sherehe
Niko na Amani tangu niwe nae moyoni sherehe
Niko na Amani niko niko moyoni sherehe
Niko na Amani tangu niwe nae moyoni sherehe
CHORUS:Abdukiba & Yammi
Youuuuu You You youuuuuuu you youuuu
I’m love with u “Yes I Do”
Youuuuu You You youuuuuuu you u youuuu
I’m love with u “Yes I Do”
VERSE:Yammi
Litapita pepo la hasira, kununa na kuzila
Juwa wewe your “my only one” na kuna furaha
Na madhira ewe baby usinione tofauti Sitabadilika
Mimi ni wako kwako, nimefika fika Rabeikha nimeitika
La la la aah nifanye wako wa halali
Nami nimekwita kwita maana nimefika fika nararaa
Nakufanya wangu wa Halalii eeeh
BRIDGE: Abdukiba
Niko na Amani niko niko moyoni sherehe
Niko na Amani tangu niwe naye moyoni sherehe
Niko na Amani niko niko moyoni sherehe
Niko na Amani tangu niwe nae moyoni sherehe
CHORUS:Abdukiba & Yammi
Youuuuu You You youuuuuuu you youuuu
I’m love with u “Yes I Do”
Youuuuu You You youuuuuuu you u youuuu
I’m love with u “Yes I Do”uuh
OUTRO:Yammi
Mmmh mmh mmmh mmh Yes I Do
THE MIX KILLER
Read Other Latest Song Lyrics Here
Get Fresh updates as they drop via Twitter and Facebook
The post You Lyrics by Abdu Kiba Ft Yammi appeared first on Latest East African & Bongo Flava Music, Songs & Video – Notjustok.
Leave a Reply