Zakayo Lyrics by Christina Shusho

0
(0)


Zakayo Lyrics by Christina Shusho

Read and sing aloud Zakayo Lyrics by Tanzanian gospel singer, Christina Shusho. The song is currently making waves in Kenya and beyond.

READ ALSO: Read Majina Yote Mazuri Lyrics By Dedo Dieumerci Ft Naomi Mugiraneza

Read Zakayo Lyrics by Christina Shusho below:

Palikuwa na mtu mmoja

Jina lake Zakayo 

Mkubwa kwa watoza ushuru 

Naye ni tajiri 

Alitafuta kumuona Yesu ni mtu 

Wa namna gani 

Asiweze kuwa sababu 

Umati wa watu 

Maana ni mfupi wa kimo Zakayo 

Maana ni mfupi wa kimo Zakayo 

Maana ni mfupi wa kimo Zakayo 

Maana ni mfupi wa kimo Zakayo 

Akatangulia mbio akapanda 

Juu ya mkuyu 

Apate kumuona kwa kuwa 

Atapita njia ile 

Na yeye Yesu alipofika

Mahali pale 

Alitazama juu akamwambia 

Zakayo shuka upesi 

Eeeeh shuka 

Shuka shuka shuka shuka upesi 

Shuka shuka shuka nimekuja kwako 

Shuka shuka shuka eeeh Zakayo 

Shuka shuka shuka shuka shuka 

Bwana tazama nusu ya mali yangu 

Nawappa masikini 

Na ikiwa nimenyang’anya kitu kwa hila 

Namrudishia mara nne 

Bwana tazama nusu ya mali yangu 

Nawappa masikini 

Na ikiwa nimenyang’anya kitu kwa hila 

Namrudishia mara nne 

Zakayo 

Shuka shuka shuka shuka upesi 

Shuka shuka shuka nimekuja kwako 

Shuka shuka shuka eeeh Zakayo 

Shuka shuka shuka shuka shuka 

Bwana tazama nusu ya mali yangu 

Nawappa masikini 

Na ikiwa nimenyang’anya kitu kwa hila 

Namrudishia mara nne 

Zakayo 

Shuka shuka shuka shuka upesi 

Shuka shuka shuka nimekuja kwako 

Shuka shuka shuka eeeh Zakayo 

Shuka shuka shuka shuka shuka 

The post Zakayo Lyrics by Christina Shusho appeared first on Latest East African & Bongo Flava Music, Songs & Video – Notjustok.

How useful was this post?

Click on a star to rate it!

Average rating 0 / 5. Vote count: 0

No votes so far! Be the first to rate this post.

Be the first to comment

Leave a Reply